Msaada Monitor ya PC inagoma kunonesha

Msaada Monitor ya PC inagoma kunonesha

PCGAMES

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
802
Reaction score
1,192
Ni PC aina ya Dell Optiplex GX 620 Desktop. Tatizo limeanza leo baada ya kuzima alafu nikawasha ili kupisha i-instal updates ambazo zilisha pakuliwa na PC yenyewe sasa kwenye kuwaka ndio tatizo limetokea Monitor haitaki kunesha ila sauti ya kuwaka yaani Startup tone inasikika kama kawaida na hata nikizima tena ile sauti ya kuzima inasikika ppia ila kuona kinachoendelea ndio shida kubwa. Naombeni msaada wataalamu:disapointed::disapointed::disapointed:
 
Naomba niongezee maelezo ni kwamba Monitor yenyewe inaonekana ipo vizuri tu kwa sababu ktk step za kuwaka kwa komputa mwanzoni inaonesha kila kitu kinachoendelea tabo inakuja katika umaliziaji wa kuwa full ili niweze kuitumia. Naombeni msaada tafadhali
 
Swap monitor kwa CPU nyingine halafu utajua tatizo sio monitor ila ni updates ulizofanya
 
Back
Top Bottom