F Fundifundisho Member Joined Jan 11, 2011 Posts 77 Reaction score 18 Sep 3, 2012 #1 Natumia modem ya voda zte model:k3570-z nataka itumie line ya airtel nimedownload dc unlocker ila sijui jinsi ya kuitumia hivyo naomba msaada wa maelekezo,hata kama kuna software nyingine.
Natumia modem ya voda zte model:k3570-z nataka itumie line ya airtel nimedownload dc unlocker ila sijui jinsi ya kuitumia hivyo naomba msaada wa maelekezo,hata kama kuna software nyingine.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,145 Sep 3, 2012 #2 umejaribu joinair??