Je, ukitumia modem ya aina nyingine inakuwaje ........ je,ulishawasiliana na Halotel wenyewe ............. Je, laptop yako feni zake zinafanyakazi .......... Je,laptop yake inauwezo gani .............Je,laptop yako iko bize kiasi gani. Nijibu haya kabla sijaendelea.