Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 347
- 560
Ina Disconnect internet?Habar wataalam
Modem ukiichomeka inaconnect then baada ya muda inadisconnect yenyewe na unakuwa inafanya hivyo muda wote.nini litakuwa tatizo?
Jaribu ku- Uninstall , Kisha u-Install upyaNdio inadisconnect internet then inakonekt tena
nifundishe nafanyaje broUnatakiwa upige firmware new version
Aina ya modem/model au picha tuma tukusaidie kwa urahisi...Shida Ni kuwa ukiiweka tu haileti option ya kuinstall Yani inafunguka moja kwa moja Kama vile program imeshakuwa installed na wakati nikiangalia kwenye programs haipo na hili ttzo lilianza wakat natumia avg antivirus nilipoichomeka ikaditect setting zake Kama virus ikaweka quarantine..nikaunistall avg..ili nianze kuinstall upya modem...kuiweka tu ndio ukaanza hayo mapicha
Aina ya modem/model au picha tuma tukusaidie kwa urahisi...
Ninayo ya hivi ila nimeshindwa kuelewa inatumia line gani? Nilipata wakati nanunua simu
Miderm ni brand ipi na model yake plz?Habar wataalam
Modem ukiichomeka inaconnect then baada ya muda inadisconnect yenyewe na unakuwa inafanya hivyo muda wote.
Nini litakuwa tatizo?