Msaada: Jinsi ya kuunga Modem ya Voda

Msaada: Jinsi ya kuunga Modem ya Voda

Chief

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2006
Posts
4,042
Reaction score
3,837
Nimenunua modem ya Voda na nime - install kwenye laptop bila tatizo. Tatizo ni kwamba ingawa kwenye status inaonyesha kuwa ipo connected lakini inaniambia hakuna network hivyo sipati mtandao. Ila niki -disconnect na ku-connect kupitia dial up setting, ndipo ninapopata internet.

Kwa kuwa inatakiwa u-connect moja kwa moja kupitia modem software interface, nifanyeje? Nikiwapigia customer service ya Voda ni mchemsho tu. Natumia Window 7.
 
sijui kwanini voda za sasa dashboard zake zina zingua zina tabia hiyo nenda ktk setting ingia option nenda profile management nenda new ili uweze ku creat new profile sasa ktk apn jaribu kuweka dynamic halafu save jaribu ku connect ikikataa kabadili ktk apn weka static halafu jaza internet au neno lolote jaribu
 
Ahsante nitajaribu na kutoa feedback hapa leo.
 
Back
Top Bottom