Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,932
- 4,049
Hiyo simu siyo ya promotion za voda?,jibu kwanza hili
Habarini za sikukuu?
Ninatumia huawei y300, tatizo ni kwamba nikiweka lain tofauti na voda haiaccess mobile data, yaan hata kuonesha E, 3G au H+ haioneshi lakini nikiweka voda mambo safi.
Nilijaribu kuomba internet settings za airtel na tigo nikainstall lakini wapi.
Naomba msaada ndugu zangu wenye ujuzi na haya mambo angalau nijue tatizo ni nini.
tengeneza access point Mpya...name weka internet na APN weka internet then save...chagua Internet kama access point yako.mchezo utakua umekwisha
Sawa mkuu ngoja nijaribu
tengeneza access point Mpya...name weka internet na APN weka internet then save...chagua Internet kama access point yako.mchezo utakua umekwisha
bado mkuu!?
Imekubali mkuu nashukuru sana aisee.
Karibu mkuu
Hivi mkuu ukitaka simu hiyo icheze moja kwa moja video/utube zinazowekwa hapa Jf unaset namna gani?
unatumia browser gani?
New Opera mini