Msaada: Mnada wa magari bandarini

Wadau habarini,

Naulizia, hivi taratibu za kujua mnada wa magari pale bandarini zikoje? Yaan in short, mnada huwa unafanyika baada ya muda gani, na ni vipi unaweza kuyapata hayo magari?
Asanteni:flypig:

jiandae mwezi huu wa kumi kuna mnada wa tra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…