Msaada; Mlimani Tv inapatikanaje

Msaada; Mlimani Tv inapatikanaje

heeeee! mbona ndio kiswahili fasaha chenyewe?mwanzoni walitangaza kuwa ni king'amuzi wakaja wakabadilisha.

Hehe heh kuna haja ya KAMUSI mpya, mana Dishi/Ungo kipi ni kiswahli bora kwa sattelite dish hz!
 
Hiyo tv haipo yenyewe kwenye satelite labda kwenye dish la TING(satelite) na ving'amuzi ,wale watumiao ving'amuzi vya digital msaidieni mdau
 
ilikuwa inapatikana easy tv, sina uhakika kama bado ipo.
ila kwenye TING hakuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom