Msaada mkubwa unahitajika

Msaada mkubwa unahitajika

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
680
Wadau wataalamu wa Electronics naomba Msaada wenu.

Hapa nina Tv ya LG smart inch 43, binafsi sikuwahii kujua kama haina 3.5mm Jack bali ina DIGITAL AUDIO OPTICAL sasa nimenunua HI-FI ya JVC MX D300 MIN amabyo ina AUX INPUT.

CHANGAMOTO
Nakosa namna ya kufanya connection ya Dundo hili, ili sound ya TV Ipitie KWENYE HI-FI..

Nimejaribu ku google, Youtube ni kama experts wanashauri niwe na Optical tv Converter ambayo Kibongo bongo sifaham naweza ipata duka Gani...(niko Dar)

Msaada tutani....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oda online. Aliexpress huwezi kosa hiyo
 
Nimejaribu ku google, Youtube ni kama experts wanashauri niwe na Optical tv Converter ambayo Kibongo bongo sifaham naweza ipata duka Gani...(niko Dar)
Agiza amazon, ukishindwa kupata Dar
Code:
https://www.amazon.com/optical-analog-converter/s?k=optical+to+analog+converter
1669618231010.png

Mkuu kuongezea tu Optical ni Digital na Aux ni Analog, utahitaji Active adapter ambayo itaconvert signal za digital kuja Analog, cable tu haitatosha.

Pia output yako ni optical na input ni Aux hapa pia uzingatie hili ikiwa viceversa haitafanya kazi.

Kwa hapa Mjini jaribu kkoo uhuru na msimbazi pale.

Ama mjini maduka kama KVD, Capricon, ms meghji etc.
 
IMG_4540.jpg

IMG_4539.jpg

IMG_4538.jpg

IMG_4536.jpg

IMG_4537.jpg

Unahitaji hicho kidude leta 100k chap bila maongezi nikubaliki
 
Back
Top Bottom