Msaada: Mkono unapoteza fahamu, tiba tafadhari

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ni wiki sasa tatizo linanikuta, japo tayari nimeshazungumza na mhudumu wa duka la madawa, lakini bado tatizo liko palepale!

Ninaposhtuka usiku, siuhisi mkono wangu wa kushoto (ni kama haupo kabisa), cha ajabu ninapo assume kuuinua juu, nauinua kwa haraka, akili inasoma kabisa kuwa mkono uko juu ingawaje ninapotazama juu nilikounyoosha mkono wangu, naona mkono apparent, kama maluwe luwe tu, ila mkono halisi unakuwa chini, tena umesinyaa kabisa! Na ninapojaribu kuushika kwa mkono wangu wa kulia, sihisi chochote, yaani inaonekana kama ni nyama tu ipo kitandani! Lakini muda huo nikiwa nimenyanyua mkono juu, ndipo huu mkono halisi unaanza kupatwa na ngazi (kuchoma choma) baadae unanyenyuka wenyewe kuja juu pasi na mimi kuuongoza!

Tukio la kuamkia leo ndo limenifanya kuandika huu uzi! Baada ya kushtuka usingizini, akili ika detect kuwa mkono haupo! Niliposhtuka kuutazama, kumbe nimeulalia, position yake ni kama mtu anaeweka mkono nyuma ya mgongo, lakini hapa nikaulalie kwa kuukandamiza na tumbo, kiganja kikatokeza upande wa pili wa ubavu! Baada ya kuuona, nikaunyoosha juu, ila mkono apparent (ninaouhisi) ukaja juu, lakini huu real ukagoma kabisa for about two minutes, nimehaha kuliko kawaida, nikataka kupiga makelele! Ndipo nikahisi vitu vinatoka begani kumwagika ndani ya mkono, ndipo mkono ukafa ganzi (ukachoma choma) ukaanza kuondoa ile kusinyaa, ukaufata mkono apparent ambao nimeunyoosha juu!

Siku za mwanzo nilidhani naota, lakini leo nimefanya reality test nimegundua inatokea real! Nahisi something is wrong! Ingawaje duka la madawa walinipa vijidonge lakini havisaidii kitu

Msaada tafadhari!
 
ni mraibu wapombe? Maana iyo inaweza pia ikawa chanzo Cha tatizo
 
Hivi mnategemea hizi hosptali zitatibu akina nan kama ukipata tatizo la kitaalam unaandika mtandaoni badala ya kwenda hosptali....
 
Ngoja waje wataalam hata Mimi imeshanitokea zaidi ya Mara tano kwa sifa hizohizo nikahisi ndio stroke nikajifariji huenda niliulalia vibaya sasa unakufa ganzi ndio inatokea hayo
 
Relax mkuu. Nami imenitokea sana hiyo nilipomcheki daktari akanipima hakuona dalili yoyote mbaya ila alichoniambia nijitahidi nisilalie mkono. Ukilalia mkono unazuia movement ya damu kwenye mishipa sasa hiko ndicho hutokea. Nilivyofuatilia nikagundua ni kweli hasa ukilalia ubavu mmoja.

Solution: Usilalie mkono!
 
Relax mkuu. Nami imenitokea sana hiyo nilipomcheki daktari akanipima hakuona dalili yoyote mbaya ila alichoniambia nijitagidi nisilalie mkono. Ukilalia mkono unazuia moovement ya damu kwenye mishipa sasa hiko ndicho hutokea. Nilivyofuatilia nikagundua ni kweli hasa ukilalia ubavu mmoja.

Solution: Usilalie mkono!
Shukrani mkuu, maake nilikuwa nshaogopa! Nikahisi naelekea kupararaiz
 
Ni wiki sasa tatizo linanikuta, japo tayari nimeshazungumza na mhudumu wa duka la madawa, lakini bado tatizo liko palepale!

Ninaposhtuka usiku, siuhisi mkono wangu wa kushoto (ni kama haupo kabisa), cha ajabu ninapo assume kuuinua juu, nauinua kwa haraka, akili inasoma kabisa kuwa mkono uko juu ingawaje ninapotazama juu nilikounyoosha mkono wangu, naona mkono apparent, kama maluwe luwe tu, ila mkono halisi unakuwa chini, tena umesinyaa kabisa! Na ninapojaribu kuushika kwa mkono wangu wa kulia, sihisi chochote, yaani inaonekana kama ni nyama tu ipo kitandani! Lakini muda huo nikiwa nimenyanyua mkono juu, ndipo huu mkono halisi unaanza kupatwa na ngazi (kuchoma choma) baadae unanyenyuka wenyewe kuja juu pasi na mimi kuuongoza!

Tukio la kuamkia leo ndo limenifanya kuandika huu uzi! Baada ya kushtuka usingizini, akili ika detect kuwa mkono haupo! Niliposhtuka kuutazama, kumbe nimeulalia, position yake ni kama mtu anaeweka mkono nyuma ya mgongo, lakini hapa nikaulalie kwa kuukandamiza na tumbo, kiganja kikatokeza upande wa pili wa ubavu! Baada ya kuuona, nikaunyoosha juu, ila mkono apparent (ninaouhisi) ukaja juu, lakini huu real ukagoma kabisa for about two minutes, nimehaha kuliko kawaida, nikataka kupiga makelele! Ndipo nikahisi vitu vinatoka begani kumwagika ndani ya mkono, ndipo mkono ukafa ganzi (ukachoma choma) ukaanza kuondoa ile kusinyaa, ukaufata mkono apparent ambao nimeunyoosha juu!

Siku za mwanzo nilidhani naota, lakini leo nimefanya reality test nimegundua inatokea real! Nahisi something is wrong! Ingawaje duka la madawa walinipa vijidonge lakini havisaidii kitu

Msaada tafadhari!
Something wrong kwenye brain cells au nerves
 
hapo tatizo unalalia mkono wala sio ugonjwa ingekuwa suala la ugonjwa kwanza ingekuwa inatokea muda wowote sio mpaka ulale na pia isingekuwa inakuja na kurudi ingekuja siku ya kwanza na kubaki hivohivo au kuendelea kupata ganzi zaidi siku zinazofuata tatu isingekuwa inakuja ghafla hivo ingekuwa inaanza polepole afu inaendelea kuongezeka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom