kalimanzilajuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 323
- 314
Hayana harufuHayo maji yanatoa harufu yoyote?
Kama ni harufu mbaya bhasi ni dalili ya maambukizi
Akapate antibiotics lakini kama hayana harufu bhasi ajaribu kufanya obstetric x-ray
Nashukuru kwa ushauriKawaone madaktari wakupe ushauri wa kutosha,humu utapewa ushauri utumie madawa mwisho wake yamdhuru mtoto alieko tumboni...
Nashukuru kwa ushauriNenda kwenye hospital kubwa ya kueleweka
Mmh,obs' xray!!Hayo maji yanatoa harufu yoyote?
Kama ni harufu mbaya bhasi ni dalili ya maambukizi
Akapate antibiotics lakini kama hayana harufu bhasi ajaribu kufanya obstetric x-ray
Mkuu hadi mwezi wa Tisa ulikuwa unapitisha rungu?Hayo kawaida sana tena mi alikua anatoa mengi sana hata akilala usingizi.Mi nlikua nayapitishiya rungu hivo hivo wala usiogope
Ndio Mara ya mwisho nilipitisha asubuhi kama mida ya SAA 4asubuhi jioni SAA 3usiku akajifungua kumbe nilichochea motoMkuu hadi mwezi wa Tisa ulikuwa unapitisha rungu?
Duuu!!! Hiyo noma hiyoNdio Mara ya mwisho nilipitisha asubuhi kama mida ya SAA 4asubuhi jioni SAA 3usiku akajifungua kumbe nilichochea moto
Kawaida mkuu inabid uwe na tecnic la sivo utapiga nyetoDuuu!!! Hiyo noma hiyo
Uliyanusa?Hayana harufu
Unataka ujibiwe nini tena?Uliyanusa?
Neno!Nenda kwenye hospital kubwa ya kueleweka
Achana na mitandao mkimbize hospitali wewe!Unataka ujibiwe nini tena?