Msaada: Mke wangu anatafuta dawa ya kupunguza matiti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Mke wangu anatafuta dawa ya kupunguza matiti!

Discussion in 'JF Doctor' started by Mchaka Mchaka, Mar 21, 2011.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Toka ajifungue miaka miwili iliyopita amekuwa akishuhudia ongezeko kubwa la matiti yake mpaka inakuwa kero(sio kwake tu ht mm). Je kuna dawa za kupunguza matiti na kama zipo vipi kuhusu gharama zake na madhara yake?

  Tafadhali mwenye ufahamu kuhusu hili anijuze.
   
 2. BLISS

  BLISS Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana kwa hilo, wakati wengine wanatumia vidonge vya kukuza matiti, wapo pia wanaotafuta vidonge vya kupunguza matiti..

  kuhusu hili tatizo mara nyingi hutokea pindi mama anapojifungua lazima ukubwa wa matiti huongezeka sana, kutokana na kuzalishwa chakula cha mtoto kwa wingi lakini kwa jinsi anavyoendelea kunyonyesha kwa wingi ndio tatizo linapungua na baada ya miezi kazaa yanajirudi katika hali ya kawaida,

  pia sikushauri umwambie atumie dawa yoyote ya kupunguza kwani pia inaweza kusaababisha magonjwa kwa mama na mtoto pia,
   
 3. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Labda jaribu na dawa ya babu Loliondo huenda ikawasaidia...
   
Loading...