Mpe muda mpaka afikishe miezi 3
Mkuu lengo la muda huo ni nini?Mpe muda mpaka afikishe miezi 3
PoleeWanajamiiforums Mrs anableed mwezi wa pili sasa tokea apate ujauzito na ni kitu ambacho si cha kawaida msaada wenu wapi nitapata tiba nzuri tuko mwanza.
hata baada ya kunasa mimba mwanamke huweza ku breed (ila inakuwa damu chache ) kwa mwezi 1-2 ni suala la kawaida ila kwa ushauri poa nenda hosp.
Pole kwa kuwa na wasiwasi, atakuwa salama. Je anatokewa hivyo ikifika siku za siku au muda wote? Kwa sababu kuna wanaotokewa zile siku zikija na baada uacha au wengine uendelea hadi mwisho na mtoto kuwa salama na afya nzuri.
Tangu ameanza kupata hayo hamjawahi kwenda hospitali au kuonana na gynaecologist(bora kuonana na huyu)?
Utakapoenda popote hakikisha anafanyiwa ultrasound scan na hata fetal doppler watumie mjue kuwa heartbeat ya mtoto ipo kwanza mjue yupo salama.
Na usukume awe monitored kwa antenatal appointments za mara kwa mara hata kama ni kila wiki au fortnightly hadi ajifungue. Itamsaidia kuondoa wasiwasi mara kwa mara.
Ikizidi mienzi 3 au kama ni nyingi aende kwa doctor
Inawezakana ana stress,mie nakumbuka manzi wangu kipindi cha ujauzito wake niliwahi kumkasilisha damu zilimtoka.
Ila huwa nasikia pia hilo Tatizo pia huwa linatokea kipindi mji wa mimba unapoanza kutungwa
Ila ni vyema umpeleke hospital
Asante kwa ushauri wako halafu ni mimba yake ya kwanza ndo sababu tuna wasiwasi sana