Msaada; Mjasiriamali aliyefanikiwa kupata mkopo PPF!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,188
27,271
Wadau nina taharifa kwamba kuna mpango umeanzishwa na PPF wakishirikiana na TPB kuwezesha wajasiriamali!
Wanasema ukiweka akiba ndani ya miezi 6(mchango wa kila mwezi), unaweza kukopa mpaka mara 3 ya kiasi ulichoweka!

Je kuna yeyote mwenye uzoefu na hili au ni mbinu tu ya kuvuta visenti vyetu?

Natanguliza shukrani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…