Wakati wa wa ujauzito mama anazalisha hormones za Estrogen husaidia kupunguza mapigo ya moyo na mama kupita kipindi cha ujauzito salama. Estrogen hulinda wanawake na magonjwa ya moyo mpaka wakifikia menepouse. Matatizo ya moyo kwa mjamzito ni medical emergency.
Tunasubiri walioingia darasani kwa majibu zaidi.Sijaelewa..
Ina maana hawa hawasalishi za kutosha?.
Watibiwe vipi??
Si waende hospitali jamani, hospitali wakishindwa ndipo mje hapa kabla hatujawaamulia kwa kwendaNna majirani wawili ..wadada wajawazito walikuwa..umri around 25.
Mmoja mtoto kafia tumboni kisa ni irregular heartbeat wakati hana historia ya ugonjwa huo..mimba ilikuwa miezi minne..na mwingine now mimba miezi mitatu nae kaanza kupata irregular heartbeat.
Nimejikuta nakuja kuuliza wajuzi hapa.
Tatizo laweza kuwa nini?
Kuna chanzo au sababu?
Matibabu ya tatizo hili yapi?
Si waende hospitali jamani, hospitali wakishindwa ndipo mje hapa kabla hatujawaamulia kwa kwenda
Si waende hospitali jamani, hospitali wakishindwa ndipo mje hapa kabla hatujawaamulia kwa kwenda
Anemia signs and symptoms include:www.mayoclinic.org › art-20114455
Iron deficiency anemia during pregnancy: Prevention tips - Mayo Clinic
By Mayo Clinic Staff. If you're pregnant, you're at an increased risk of iron deficiency anemia
Ni ndugu ??
Mwanamke akishabeba mimba Kuna vinavyongezeka na vingine vinapungua kwake.
Moja ya vinavyoongezeka ni Kiwango cha Damu ,Damu huongezeka na hii hupelekea Moyo kusukuma damu kwa zaidi ya 20% kwaivo Mama mjamzito atakuambia Mapigo yamoyo yanaenda kasi , na hili linaongezeka zaidi hasa kwenye miezi mitatu ya mwisho ambapo Damu nyingi huelekezwa kwa Womb . Hii ni kawaida.
Hata ivo Irreg HB ambazo zinaambatana na Maumivu makali ya kifua, maumivu ya Bega yanayosambaa mpaka mgongon, kupatwa ganzi mikonon au miguun, Kuvimba na kupatwa maumivu ya miguu na mikono , Kuhisi kama anakoswa pumzi, kupumua kwa shida, uono hafifu ...ni vema Mama mjamzito ajisogeze hosp mapema.
Kuepusha ... Kuharibika kwa mimba , mtoto kufia tumbon, Kuzaa mtoto mwenye uzito mdogo sana , kuzaa mtoto kabla ya kufikisha umri,n.k