Msaada: Mimba ya mke wangu imetunga nje ya kizazi

Feedback tafadhari mimi Imetokea na sasa nipo hospital. Nime declare operation ifanyike.

Nimekuja hapa kutafuta ushauri Lakini nimekutana na mtu ameandika Uzi huu. Japo hakuna further feedback....
poleni mkuu
hope all is well
 
Back
Top Bottom