Msaada: Mimba haionekani

kingsaula

Senior Member
Nov 19, 2016
195
139
wakuu nina demu apa nilipiga siku za hatari na bleed akupata sasa zimepita wiki mbili anapima kwa kutumia tuvipimo tule tudogo wanatouza buku,anasema hakuna kitu,je mimba inachukua mda gani hasa kuonekana_ msaada plz
 
mimba inachukua hata siku mbili tuu utaona dalili kama mood swing, reaction kwenye baadhi ya vyakula n.k
 
Kwani ni lazima ukipiga Siku za hatari mimba ishike?

Huenda shahawa zako hazina uwezo wa kutungisha mimba, ama demu akawa na matatizo yake. Ama, mliwahi au mlichelewa kabla ya siku zitakiwazo. Kufanya mapenzi kipindi cha hedhi ya mwanamke haimaanishi kuwa atapata mimba moja kwa moja.

Mlipiga mkiwa na nia ya kutungisha, sasa nyie pigeni wakati hamkutegemea. Lazima kitu kiingie.
 
Wiki mbili baada ya tendo nunua preagnant teast au nenda hospitali na mkojo wa kwanza wa asubuhi
 
Back
Top Bottom