Ndio mkuu . lakini shida bado ipoHua unasafisha miguu yako kwa unadhifu na kuisugua vizuri?
Sivaagi soksiJe hua unavaa viatu na soksi?
Chukua jiwe uwe unasugua miguu sehemu zote.dead skin kwenye miguu ndio hutoa harufu.hakikisha kila siku unasugua utakuja kunishkuru
Asante mkuuJaribu kuchemsha maji ya vuguvugu, yawe kama lita tatu au nne, weka kwenye beseni, weka chumvi vijiko vya chai 4 au 5, then kamulia limao nne na mbegu zake halafu kaa iloweke miguu humo kwa dakika 5 hadi 10 , halafu osha miguu yako hadi katikati ya vidole kwa maji hayohayo, fanya hivo mara moja kwa wiki au mbili,
Harufu huletwa na hizo dead skin ukisugua na jiwe na kuwa unabadili vitu na soks kwa wiki tatizo linaisha unasahau.mimi nilikuwa na hiyo tatizo dokta flan mzungu akanipa hio idea.hadi leo ni storiNdio mkuu . lakini shida bado ipo
Harufu huletwa na hizo dead skin ukisugua na jiwe na kuwa unabadili vitu na soks kwa wiki tatizo linaisha unasahau.mimi nilikuwa na hiyo tatizo dokta flan mzungu akanipa hio idea.hadi leo ni stori
Hapa ndipo tatizo lilipo!! Hakikisha unavaa viatu na soksi,tena USIVAE SOCKS ZA DUKANI,vaa SOKSI ZA MTUMBA TU,uwe na pair nyingi nyingi! U’ll thank me laterSivaagi soksi
Okay kama hauvaagi soksi, je una pair ngapi za viatu na je unavaa viatu vya aina gani, kwa maana ya raba, moka au mabuti.Sivaagi soksi
Ni hivi viatu vya kawaida, sio moka wala mabutiOkay kama hauvaagi soksi, je una pair ngapi za viatu na je unavaa viatu vya aina gani, kwa maana ya raba, moka au mabuti.