Inahitajika tiba ya haraka hapa

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Wanaojua dalili hizi ni za ugonjwa gani wanisaidie na tiba yake ni nini?

DALILI

- Kutokwa na uchafu kama uji hata akivua chupi anaukuta.

- Kuhisi maumivu wakati wa sex kisha muwasho baada ya tendo.

- Uke kutoa harufu mbaya.

- Uke kutoa vitu kama maziwa ya mgando hasa ukichomoa mjegeje vinakuwa vimeji attach.

- Muda mwingine kuhisi homa kali.

- Uke kupoteza majimaji.

- Kupoteza hamu ya tendo, nahisi hii imechangiwa na maumivu wakat wa sex etc.

Anaejua tiba msaada bandugu.
 
Wanaojua Dalili hizi ni za ugonjwa gani wanisaidie na tiba yake ni nini?

DALILI.

-Kutokwa na uchafu kama uji hata akivua chupi anaukuta.

-Kuhisi maumivu wakati wa sex kisha muwasho baada ya tendo.

-Uke kutoa harufu mbaya

-Uke kutoa vitu kama maziwa ya mgando hasa ukichomoa mjegeje vinakuwa vimeji attach.

-Mda mwingine kuhisi homa kali.

-Uke kupoteza majimaji.

-Kupoteza ham ya tendo nahis hii imechangiwa na maumivu wakat wa sex. etc

Anaejua tiba msaada bandugu.
PID hiyo nendeni hospitali mkapate dawa..
 
Wanaojua dalili hizi ni za ugonjwa gani wanisaidie na tiba yake ni nini?

DALILI

- Kutokwa na uchafu kama uji hata akivua chupi anaukuta.

- Kuhisi maumivu wakati wa sex kisha muwasho baada ya tendo.

- Uke kutoa harufu mbaya.

- Uke kutoa vitu kama maziwa ya mgando hasa ukichomoa mjegeje vinakuwa vimeji attach.

- Muda mwingine kuhisi homa kali.

- Uke kupoteza majimaji.

- Kupoteza hamu ya tendo, nahisi hii imechangiwa na maumivu wakat wa sex etc.

Anaejua tiba msaada bandugu.
Dkt Ben mpigie endapo tatizo lano ni sugu. Kama sio sugu nenda hospital watakupatia antibiotics ni ugongwa wa zinaa huo. 0699254400
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom