Msaada: Mifuko ya Jamii (Pension)

Msaada: Mifuko ya Jamii (Pension)

Shora Open

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
94
Reaction score
64
Habari waungwana!

Naombeni elimu/msaada, ni mfuko upi wa jamii mzuri kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa kazi mfupi.

Uzuri wa mfuko kwa maana masharti nafuu na faida zaidi.

Karibuni.
 
Miaka 5 iliyopita nilimaliza mkataba wangu na shirika moja hapa TZ. Nilikuwa nimejiunga PPF. Nilivyopeleka vielelezo ndani ya siku 30 wakanipatia mafao yangu wala hawakunisumbua! Lakini now days mfuko unaokiki sana ni LAPF na PSPF chagua kati ya hii!
 
Sheria ya kuunganishwa mifuko yote inabaki miwili tu imeshatungwa. Nasikia mheshimiwa rais ameshasaini na itaunganishwa mifuko yote inaunganishwa inabaki miwili tu, mmoja kwa wafanyakazi wa serikali, na wa pilikwa wafanyakazi makampuni binafsi. Sheria ya hiyo mifuko miwili inayobaki mafao yake itakuwa sawa. Hakutakuwa na uchaguzi ujiunge na upi.
 
Asante Atuganile, ungenisaidia benefits briefly za hiyo mifuko LAPF na PSPF.
 
Habari waungwana!

Naombeni elimu/msaada, ni mfuko upi wa jamii mzuri kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa kazi mfupi.

Uzuri wa mfuko kwa maana masharti nafuu na faida zaidi.

Karibuni.
We kajiunge tu lakini hela yako utaipata ukitimiza miaka 55.Hii mifuko hovyo kabisa mambo gani ya kupangiana muda wa kuishi sasa..
 
Sheria ya kuunganishwa mifuko yote inabaki miwili tu imeshatungwa. Nasikia mheshimiwa rais ameshasaini na itaunganishwa mifuko yote inaunganishwa inabaki miwili tu, mmoja kwa wafanyakazi wa serikali, na wa pilikwa wafanyakazi makampuni binafsi. Sheria ya hiyo mifuko miwili inayobaki mafao yake itakuwa sawa. Hakutakuwa na uchaguzi ujiunge na upi.
Yes na Sheria imeanza rasmi this April tarehe Moja sasaivi taratibu za administrative na regulations basi. Only NSSF for private sector and PSSSF for public sectors Hakuna kuchagua sasa
 
Back
Top Bottom