endelea tu kudownload ukishindwa nitafute nikupe CD uka-copySalaam wakuu...Mwenye link ambayo ni rahisi kudownload hii software naomba anisaidie. Maana nimehangaika kutwa nzima nadownload vitu vya ajabu...! Natanguliza shukrani.
Salaam wakuu...Mwenye link ambayo ni rahisi kudownload hii software naomba anisaidie. Maana nimehangaika kutwa nzima nadownload vitu vya ajabu...! Natanguliza shukrani.
sina hakika kama kwako hii link itafanya kazi. nina premium ya zbigz , hivyo nimekuwekea direct link kutoka torrent. ikifanya kazi na ukiipakua nipe habari. ili niifute kule kwenye account yangu http://r4.btgate.info/core/outfile.php?did=3540523769bf495f4125569435e84fac

ntakutaarifu mkuu.