Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

Mbona bado kijana sana,tatizo siyo single mom au ambae hajazaa,tuliza akili,tafuta mwanamke atakae kupenda wewe Kama wewe,Kama una kipato fanya asijue km uko na maokoto
Mbona upendo wa dhati upo sana tu.
Kijijini kw mm naona utafanya kazi ya kuletea wenzio hao wanawake,maana wanazibukaga vibaya sana,.
All in all Allah!! Ni kila kitu,piga goti huku ukiendelea kutafuta alietoka kwa ubavu wako kumbuka MUNGU ANATUPATIA TUNAVYOSTAHILI SI TUNAVYOVITAKA
Ndiyo maana mpaka sasa wanakusumbua,omba Mungu akupe unachostahili
 
Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi!

Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe.

Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'. Nikaona nachotaka kufia hapa ni nini?

Huyu wa tatu ndio jana kaniuliza kabisa, huku mdomo akiwa kaupeleka pembeni (ishara ya dharau), "Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kabisa nitamsahau niliyezaa nae? Mfyuuuu!"

Nimeondoka nyumbani mpaka sasa sijarudi.

Wadau, wapi anapatikana asiyekuwa na mtoto katika umri huo nijiandae kula nae kikokotoo?

Nimekwama, tusaidiane.
Njoo pm nikupe namba ya rafiki yangu mmoja yupo Tanga... (Umri wake itakuwa 29 )
Yupo vizuri sana asee!!!
Ila nakupa namba tu mengine utamaliza mwenyew, hajawah olewa wala hana mtoto.... Mpambanaji Sana pia anaakili ya maisha (kikubwa tu uwe muislam ndo urahisi utakuwepo!!!
 
Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi!

Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe.

Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'. Nikaona nachotaka kufia hapa ni nini?

Huyu wa tatu ndio jana kaniuliza kabisa, huku mdomo akiwa kaupeleka pembeni (ishara ya dharau), "Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kabisa nitamsahau niliyezaa nae? Mfyuuuu!"

Nimeondoka nyumbani mpaka sasa sijarudi.

Wadau, wapi anapatikana asiyekuwa na mtoto katika umri huo nijiandae kula nae kikokotoo?

Nimekwama, tusaidiane.
Kama uko vizuri kifedha utapata🙏🏼
 
Pole sana mkuu...siyo kwamba nakubeza, hapana
Ila ulikuwa unafanya nn ukiwa na umri sahihi wa kuoa??

Nyie ndo wale kataa ndoa, hlf umri ukienda unatafta mwanamke uzeeke nae na wakat ujana ulikula bata mwenyewe
Ndoa cyo rahisi, ila ukipata mtu mapema mkapita kwenye migogoro ya hapa na pale mwisho wa siku mtakaa sawa na maisha yatasonga
 
Umri huo akitumia pesa kumpata mwanamke muda si mrefu atarudi na uzi mwingine hapa
Yeah mchawi ni pesa tu iwe kijijin iwe mjini anapata na kama hataki stress zaid atafute wazee anaojuana nao vijijin kuwaomna kua anahitaj mke wazee waingie kazini wakiona ana maisha mazur na tabia njema atataftiwa mke wa chaguo łąkę manake mzazi akijua mtoto wake haendi kuhangaika njaa wala kipigo cha pombe basi wanakubal hata mume awe na umri unaofanana na wao
Iła kama anahitaj tu wa kuish nae mjini wapo pia azunguke maeneo yenye vyuo atapata tu manake wanahitaj zaid matunzo kama pesa ipo atapata ila sio uhakika atafanywa sponsor labda iwe bahati yake
 
Ingawa nachelea kuamini story zinazoletwa humu.......lakini kwa umri huo kama unajitunza vizuri mbona bado kabisa na mtu hajui mpaka umuambie.....

Mimi rafiki yangu mmoja baada ya kuhangaikia na maisha ya ubaharia kaamua kutulizana akiwa na miaka 48 na akatafuta mwali sasa wana mtoto mmoja.......yaani alivyo mtu wa mazoezi na mwili wake mkavu mkavu ukiambiwa ni balo balo wa miaka 34 unakubali kumbe anakimbilia 54 huko.......

Mara nyingi wanaume uzee ni vile unavyojiweka na kujijali.......mara nyingi mwanaume uchakavu unaanza kuuona miaka 65 huko na huko penyewe uwe na maisha ya hovyo hovyo.......nawafahamu watu kibao wenye miaka zaidi 70 wenye nguvu zao nzuri na wapo active...... mazoezi ni nguzo muhimu ya kuwa active mwanaume.........

Ukimuona mwanaume amechakaa chini ya miaka 60 ujue ana mifumo mbaya wa maisha uliomsababishia magonjwa yasiyoambukiza.........

Vijana kuweni makini na mavyakula mabovu na mipombe mikali......inaichosha miili yenu......zingatia msosi na mazoezi, jipende, vaa pendeza mavazi ya kisasa yasiwe ya kihuni......watu wanakushangaa Tu.....

Wewe wa miaka 43 bado kinda kabisa unajipa presha bure labda kama ni wale walevi wa matap tap....

Marehemu alikuwa active mpaka ana miaka 97 anafanya kazi zote za nyumbani na shamba.....bahati mbaya alikufa kwa kugongwa na nyoka akiwa shambani..........
 
Mkuu,
Huenda itakuja kuwa unavyotamani, ila kwa ground sasa hivi bado sana. Wanawake ni tegemezi sana tu japo kuna kundi dogo sana(huenda Hata hivyo mimi nawatakia kila la heri, wazalishwe na kuachwa ili walee wenyewe, kama ndivyo wanaona bora kuishi.
Mkuu hilo kundi dogo unaloongelea na hiyo asilimia uliyoandika ni kwa wanawake wa dunia nzima au unamaanisha jamii gani, si kwamba wanawake tunatamani sana dunia ifike huko ila kwa asilimia kubwa wanaume wanajitakia wenyewe so tunaona acha wavune walichopanda, haiwezekani wewe ndio mlalamikaji halafu umuambie mwingine (ambaye halalamiki) abadilike kwa ajili yako ili wewe ufurahi ila ukiambiwa uanze kubadilika wewe hutaki
 
Back
Top Bottom