Nilikuwa nafanya azoezi gym, badae nikasimama kwa muda kama miezi miwili kwa sababu ya ufinyu wa muda, tokea nisimame kufanya mazoezi ninapata maumivu masala sana ya mguu tangia mwezi wa 11, nikatumia dawa za maumivu kwa muda bila mafanikio, ikabidi niende kupiga x ray wakanambia mifupa haina shida yoyote. Lakini maumivu hayaishi kabisa. Dawa nilizotumia ni tramadol, v2 plus na Muvela. Naomba msaada zaidi ili niweze kupona