Msaada: Mgogoro best yangu na mke wake

Jamaa "anamweka mkewe kwenye majaribu makubwa", akishawishiwa akashawishika kosa ni la mume.
 
Ujutie nini na vitu vimeshaibiwa na haviwezi kurudi tena sasa hapo kuna mgogoro gani sema tu jamaa yako ni wale wanaume ambao wana gubu
 
Unamaanisha kweli hawezi kupata nguo za watoto kwa hela hio?!! Au unakusudia nini.
 
Hajasema ni shopping ya nini! Inawezekana siyo ya nguo kama unavyofikiria wewe na nguo alishanunua. Wakati wa sikukuu watoto wanaweza kununuliwa vitu vya aina nyingi.
 
Kama maelezo ni haya, mke kacheza trick nzuri mno.....

Wewe na jamaa wako mmekula za uso [emoji23][emoji23][emoji23]

Pale mwanaume jeuri anapokutana na mwanamke smart kichwani

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Wala usiwajibu hao. Tena anayefanya kebehi namna hiyo unaweza kukuta hajanunulia watoto wake chochote. Pia kuna watu wengine hawajui nguo wanunue wapi zaidi ya dukani. Kuna sehemu wanafungua mitumba ukiwahi saa alfajiri unanunua nguo za watoto za sh 7000 ambazo ukiitundika dukani unaweza kuuza sh laki moja.
 
Na ukiendelea hivi nakuhakikishia siku moja utaingia chumvini utakutana na maziwa ya mtindi ya mwanaume mwenzio yamekipamba kipochi manyoya.....

Pichu ya mtumba??? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Apambane na hali yake. Sasa alitaka mkewe alie machozi ya damu ndiyo ajue kahuzunika?

Mada ingeishia hapa...

Mtu kapoteza vitu sasa unataka akuwekee sura ya uyatima au

Anapenda maigizo Huyo jamaa
 
Kuna chobis wanafungua mitumba alfajiri ukiwahi nguo ya sh elfu saba ukiipiga pasi na kuitunduka dukani unauza elfu hamsini tena kwa kuringa.
 
Akubaliane na hali aliyoelezwa na mwenzake sababu kama huo ni ukweli basi hauwezi kubadilika cha muhimu ni kukubaliana na yaliyotokea sababu yameshatokea na hana la kufanya zaidi ya kukubali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah nimecheka had mbavu zinauma, hapa watu wananshangaa tyuuuh.
 
Kwa m2 m1 hyo enyew inategemea ananunua vazi la design gan, na quality ipi.
Kwangu me binafsi m 300k.
Duuh...mkuu unabei saana..laki tatu yote hiyo.

Unajishughulisha na nini?
 
Na ukiendelea hivi nakuhakikishia siku moja utaingia chumvini utakutana na maziwa ya mtindi ya mwanaume mwenzio yamekipamba kipochi manyoya.....

Pichu ya mtumba??? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ukimpa hiyo laki 3...si kuna wenye uwezo wa kumpa milioni mkuu?
 
Hapa naungana na wee kabisaa
Vipato vinatofautiana jamani, si kila. Mtu ana uwezo mkubwa mdhaniavyo, naweza tumia 500k kwenye shopping na bado ikaonekana ni ndogo kwa yule mwenye uwezo zaidi,

Cha kuangalia hapa ni hizo gubu zake na si kipato.
 
Hata km bhana, 90k shopping lol.
Afu msimu wa sikukuu tena kkoo.
 
Ampelek kwao (mwanamke) amuachec huko kwa muda Bila kumpa huduma

TatZo mwanamke huyo hatambui jasho la pesa na kuthamn anachopewa.

View
 
Duuh...mkuu unabei saana..laki tatu yote hiyo.

Unajishughulisha na nini?
Wee bhana si msimu wa sikukuu tyuuuh, it means nilijichanga kwa mwaka mzima.
Mie sna kazi yeyote, naishi kkb, kula, kulala bure.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…