Msaada: Mgogoro best yangu na mke wake

90k kariakoo msimu huu unafanya shopping gani?
 
Kuna shopping ya elfu 90?mwambie jamaa ako aache ubahili otherwise atagongewa sana.
 
si kaibiwa kuibiwa kusikie kwa mwenzio tu,hiuo ni ajali
 
Kwan hiyo 90k mbona mtoa mada haja specify kuwa ni shopping ya nn!!!
Huenda ni shopping ya jikon tu..nyanya na mambo simple simple.au huko kkoo ni nguo tu!?
 
We jamaa bhana acha dharau
 
90k shopping kkoo? Lol af msimu wa sikukuu? Mmmmh sjui hata ange nunua nn duuuh.
Kwahiyo hata shopping ya vyakula tu 90k haitoshi kwa family ya watu wa 4 kwa sikuu??

Mbona mnakariri vibaya nyie?
Aliesema Nguo ni nani hapo ?
 
Kwahiyo hata shopping ya vyakula tu 90k haitoshi kwa family ya watu wa 4 kwa sikuu??

Mbona mnakariri vibaya nyie?
Aliesema Nguo ni nani hapo ?
Eeeh ndyo tume kariri, na hata huyo mtoa uzi ali maanisha mavazi. Wee vip khaaaah.
 
Hakuna binaadam mkamilifu ila ni vizur kila mtu akavaa viatu vinavyomtosha yy

Kushangaa pesa ya mtu 90k kama shopping ya watoto wake ni kuingilia mambo yasiyokuhusu kila mtu ana kipimo chake tuishi maisha yetu

NB. Nimempa mama watoto 20k ya nguo za watoto za sikukuu anaenda kununua za mtumba na amefurah maan ndo maisha yetu
 
Hapa hamna mgogoro. Nikutaka kujua kama kweli ameibiwa awe ameficha hizo pexa. Mwambie uo "best wako"anitafute.Tukielewana ntamrushia misile atajua ukweli. Lasivyo amshukuru mungu na waendelee na mengine.
 
Mkuu unapesa eeeh.

Mfano mimi kipato changu kwa mwezi laki mbili na nusu...hizo suti za 75000 wanangu watazisikia kwako mkuu.
 
Wazee mbona elfu 90 nyingi saana.

Au nyie wenzangu mnaishi wapi?

Bajeti.
1. Watoto
mashati mawili ya mitumba elfu @ 2500 hiyo elfu 5000.

Suruali mbili za mitumba @ 3000 hiyo elfu 6000.

Viatu vya kichina elfu tatutatu hiyo elfu 6000. Soksi tutanunua February wavae za shule.

Mama chupi ya mtumba mia 800
Dela la chrismas elfu 8000
Gauni la mwaka mpya ananunua kitenge cha elfu 8000 anakuja kushona gauni hapa mtaani kwa elfu 10000 hiyo elfu 18 000.

Mimi ananinunulia shati lile la kun'gaa sikuhizi yameshuka bei 6500.

Jumla 51 000

Nauli elfu 3000 kwenda na kurudi.

Jumla 54000.

Change 36000. Hii inaingia kwenye bajeti ya vyakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…