Msaada: Mgogoro best yangu na mke wake

Ntakushauri tofauti na ww ukamshauri rafki ako

awe makini na mke wake
 
Mbona jukwaa tofauti mkuu,unatuchanganya peleka jukwaa lake .
 
Kitendo cha kueleza tofauti za ndani ya familia kwa marafiki ndio chanzo cha kuanza fursa ya mahusiano baina ya mkeo na rafiki yako maana matatizo yenu ya kifamilia huchukuliwa kama fursa hasa kwa marafiki wengi kukut*mbea mkeo.
 
Yaani umetoa 90,000 kwa ajili ya watoto wawili, mke bajeti yake iko wapi?

Toa zingine ili ajumlishie akanunue na nguo yake pia.
 
Wee huwajui wanawake wewe, huyo kasusa na kununa baada ya kuona jamaa anawanunulia watoto peke yao nguo za siku kuu. Halafu yeye humnunulii kiwalo.
 
Best yako mpuuzi na inaonekana muoneaji, mke ajutie kuibiwa, alitaka afanyeje, alie agaregare??
Huyo best yako ni mnyanyasaji yaani anamaindi vitu na mali coz anahudumia mkewe na watoto, ashukuru hawakudhurika wamerudi salama!

90,000 hela ndogo SANA, wangenunua nini?? Mahitaji gani?? Nguo na viatu vya watoto wangapi??
Jamaa yako inaonekana bahili SANA!

Everyday is Saturday................................😎
 
Uchumi wa kati Mkuu, jamaa kakung’uta mifuko na bank kabakisha hela ya account tu.
Yaani umetoa 90,000 kwa ajili ya watoto wawili, mke bajeti yake iko wapi?

Toa zingine ili ajumlishie akanunue na nguo yake pia.
 

Jamaa yako mwako ajakomaa kuoa, bado wakati wake wa kuona maana ajapevuka!
 
Ishi unavyoweza usiige mtu, 90,000 mbona nyingi kuna wengine shopping ya watoto wote 30,000. Ndiyo maana kuna wanaoishi apartment kwa mwezi 2,000,000 wengine 800000, wengine 200,000 wngine 80,000, wengine 30,000. Sasa just imagine huyo wa milion 2 uwa akisikia kuna watu wanaishi kwenye vyumba 30,000 uwa anawaza nini?
 
90k shopping kkoo? Lol af msimu wa sikukuu? Mmmmh sjui hata ange nunua nn duuuh.
Angenunua hicho hicho, uzuri wa maisha kila mtu anapata anacho afford. Ndiyo maana kuna suruali zinauzwa 200,000, kuna nyingine 100,000, kuna 70,000, kuna 45,000 kuna 25,000, kuna 17,000 zote zinaitwa cardet eti.

Maisha yametujumuisha sote kila mtu anapat anachoweza afford
 
Km ww unazo ni zako pesa ni pesa Kwan hyo hainunui nguo acha kujifny mtu wa ulaya kwa Ardh ya tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…