Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 67
Wote wapumbavu. Maana unatuletea upupu.Wewe na rafiki yako wote ni tatizo, sasa mlitakaje? Ebooo yani huyo dada ni mimi kabisa
Ndivyo mlivyo mavi-jana ya siku hizi!"Best yangu" imekaa ki-feminine sana!
Hivi 90,000 shopping ya mke na watoto wawili ananunua nini? Maana suti tu zile za bei chee ni 75,000, gauni la bei chee la mtoto ni 55,000 na nguo ya mke nadhani nguo ya maana si chini ya 80,000Kuna best angu kaniomba ushauri nimeshindwa kumsaidia. Ipo hivi leo mida ya mchana alimchukua wife wake kutoka home akamshusha kituo cha mwendo kasi. akampatia tsh 90,000 kwamba aende kariakoo yy na watoto wake wawili akawafanyie shopping ya sikukuu. Masaa kadhaa yakapita. Jamaa akasema ngoja ampigie kuona kama alifanikiwa. Simu ikawa haipatikani. Akajaribu baada ya few hours bado tena haipatikani akahisi kuna kitu hakipo sawa. Baada alivyorudi home akamkuta wife wake yupo home. Kumuuliza akamjibu very simple kuwa kaibiwa vitu vyote kariakoo simu pamoja na hela. Jamaa alivyoanza kuhoji zaidi akaishia kuambiwa kama kupotea vimeshapotea kwa saut isiyoonyesha kuhudhunika wala nn. Ikumbukwe hela pamoja na hiyo simu vyote alipewa na huyu jamaa yangu. Sasa jamaa yangu kamaindi kwamba haonyeshi kujutia vile hajanunua yy na hela zile ni za kupewa tu. Jamaa kakasirika sana na kaniomba ushauri. Wakuu hii imekaaje? Ni hatua gani anaweza kuchukua?
Hapa naungana na wee kabisaaJamaa yako ni aina ya jon alcohol
Aina ya wanaume ambao mpaka mwanamke atoe chozi la damu ndo ajue kaumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu elfu 90,000 ?? Kariakoo, msimu huu wa sikukuuu ??
Mie naona dem katumia akili tu, ili jamaa ampe hela ingine ,arudi sasa akaongezee ya awali anunue.