popo1986 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 1,120 Reaction score 373 Apr 14, 2016 #1 Wanajamii kwa wa kazi wa Mbinga naulizia MGANGA maarufu au waganga maarufu wanaopatikana ktk wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma au yule anaeogopwa sana
Wanajamii kwa wa kazi wa Mbinga naulizia MGANGA maarufu au waganga maarufu wanaopatikana ktk wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma au yule anaeogopwa sana
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,699 Reaction score 4,911 Apr 14, 2016 #2 Mzee mmoja anaitwa mbawala
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Apr 14, 2016 #3 popo1986 said: Wanajamii kwa wa kazi wa Mbinga naulizia MGANGA maarufu au waganga maarufu wanaopatikana ktk wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma au yule anaeogopwa sana Click to expand... unataka kuua au?
popo1986 said: Wanajamii kwa wa kazi wa Mbinga naulizia MGANGA maarufu au waganga maarufu wanaopatikana ktk wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma au yule anaeogopwa sana Click to expand... unataka kuua au?
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,524 Apr 14, 2016 #4 Kuna mmoja anaitwa Komba
U Upiversity JF-Expert Member Joined Jun 19, 2015 Posts 3,487 Reaction score 2,634 Apr 14, 2016 #5 Kuna mama mmoja ndo kiboko yao..anaitwa Senyi Ngaga!
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,877 Reaction score 10,097 Apr 14, 2016 #6 Kuna Mmoja huyu hashidwi na kitu. YESU KRISTO
G Gojaga Nize JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 3,177 Reaction score 2,546 Apr 14, 2016 #7 Hakuna cha civilized na uncivilized. Hii ndio dunia bhana
Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,513 Reaction score 8,276 Apr 14, 2016 #8 nenda sehemu moja inaitwa maguu
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Apr 14, 2016 #9 popo1986 said: Wanajamii kwa wa kazi wa Mbinga naulizia MGANGA maarufu au waganga maarufu wanaopatikana ktk wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma au yule anaeogopwa sana Click to expand... Kuna mchawi mmoja yupo huku Arusha anaitwa Mama Sakwanyaa.
popo1986 said: Wanajamii kwa wa kazi wa Mbinga naulizia MGANGA maarufu au waganga maarufu wanaopatikana ktk wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma au yule anaeogopwa sana Click to expand... Kuna mchawi mmoja yupo huku Arusha anaitwa Mama Sakwanyaa.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,135 Apr 15, 2016 #10 Biti ndimbo