Pole sana...
Watu watasema mengi na chochote kuhusu mahusiano yako... Usiwape nafasi ya kuwaharibia...
Be strong, stick on what you believe at... Stay positive, ziba masikio, fanyeni yenu...
Na wote anaoufanya ni wivu...
Cc: mahondaw
Huwa wananikwaza wavulana wa hivyo ... Maana sidhani kama mwanaume mwenye akili timamu anaweza chafulia msichana kisa tu kamkataa ... Loooo wenye tabia hizo badilikeniKuna wanaume wapo ivo ukisha mchekea kidogo tu basi ataanza kutangaza kua anatembea na wewe akati sio ukweli
Mbona wewe kwa Mondray hukuziba masikio na kusonga mbele my dear?Ziba masikio songa mbele na mpenzio...
Awe kamla hajamla hiyo ni past angalia present na future ya penzi lenu
Em niwache hukoMbona wewe kwa Mondray hukuziba masikio na kusonga mbele my dear?
Huyo mfanyakazi mwenzio mwambje akupe hata picha sizani kama watu mpo wapenzi mnaweza kosa hata kapicha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyo mwenzie anasema kala sana inamaana hata picha ya kawaida tu asiwe nayo?Wengine tulivyokuwa vijana hatukuhitaji picha kabisa kwani zaweza kukwamisha mara unapotafuta kwingine.
Mkuu unaukumbuka ule wimbo wa lady jay dee ft man dojo N domokaya, wanok nok watu wa kupakazia,Habari zenu wadau,
Mimi ni mgeni kidogo hapa JF,
Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu katika warembo, twende kwenye point, hii nyumba ninayoishi ni ya ofisi, nina mfanyakazi mwenzangu ambae kila kukicha anamzungumzia huyu mwanamke wangu.
Anasema alishawahi mla kabla yangu (sina hakika) na hana time nae, nilimuuliza huyu binti amenijibu tu kuwa alimtongozaga akamkataa, mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana.
Na hii tabia ya kusema kila mwanamke amepita nayo anayo sana, naombeni mnishauri ndugu zangu nifanye nini maana moyo wangu unaumia sana, niachane na huyu mwanamke au nifanyeje.
Ushauri wenu tafadhali, nipo njia panda
Sent using jamii forums mobile app