Msaada memory card yangu ya simu inanisumbua

Msaada memory card yangu ya simu inanisumbua

mtoto wa kibopa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
5,337
Reaction score
6,429
naombeni msada wapendwa memory card yangu ya simu yangu inaniambia ni format but kila nikijalibu kuformat haitaki nikiweka kwenye computer inafunguka na kuonyesha mafail but nikiformat pia kwa computer inakataa pia nikajaribu kudelete folder zote but nikiweka kwenye simu nayakuta kama yalivyo yaani kama mazingaombwe vile nisaidieni niformatije ???
 
Hiyo imeshakuwa kimeo we copy file zako kwenye computer achana nayo nunua nyingine...
 
Mbona hiyo ndogo sana mkuu ingekuwa 32 si ndo ungelia.

Hakuna njia hapo inauzoefu nazo hizo kuuza na kutumia..

daaah basi sawa ngoja niwenaitumia kuhifadhia vitu tu manaake nimeweka kwenye nokia inasoma ila huwezi kuingiza au kufuta folder mkuu
 
Back
Top Bottom