daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
wadau meweka memory card ya 2 GB kwenye simu nokia asha 303...lakini simu inakua nzito na inafanya kazi taratibu mno eg kufungua files hata kwenye kutumia internet...nini tatizo?na nifanyeje kuhusu hii memory card?