Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Aende lindi, Meatu hakuna issue nina rafiki yangu yupo huko. Community development officers wapo 5 ofisini wamebanana zaidi watamtupa kijijini?
mimi namshauri kaskazini ndo hard rock aende meatu
kwa experienc ya mkoa wa lind na maafisa maendeleo lazima atapelekwa kati ya wilaya 6 za lind,wakimpanga kilwa ni kuzur sana,lind mjin c kubaya,lind vijijin nako c kubaya pako mjin,ruangwa na nachingwea nako ndio panaanza kuendelea,liwale kubaya,mwambie aje lind,kwanza karibu na dar kama mfuko utamruhusu kila wk end ni dar,ni masaa sita tunina mdogo wangu kachaguliwa sehemu mbili na nafasi ni hiyo hiyo moja kachaguliwa lindi kama afisa maendeleo ya jamii daraja la ii na pia meatu kama afisa maendeleo ya jamii daraja la pili ingawa kwenye interview alifanya katika nafasi mbili ya afisa maendeleo ya jamii na afisa maendeleo ya vijana na kote alifanya vizuri. majibu kutoka naona nafasi zote ni afisa maendeleo ya jamii, lindi anatakiwa kuripoti kwa katibu tawala wa mkoa wa lindi na meatu kwa mkurigenzi wa halmashauri ya wilaya ya meatu. kaniomba ushauri aende wapi kati ya hizo sehemu mbili. naomba wenye uzoefu na haya maeneo mpate kunisaidia nimuelekeze my mdogo.
Wewe unataka akae mjini afanye nini? Hivi unategemea unaenda kuanza kazi wakuache mjini uwabanie nafasi zao? Thubutu!! Hata huko Lindi watamtupa vijijini tu!!!
Jamii inayohitaji maendeleo iko vijijini na ndo kazi aliyosomea hiyo, acha kumtisha bwana kwani akikaa kijijini hawezi kupga kazi? Mkuu mwambie aje Meatu tubanane mwanawane! Hii wilaya inaitwa MEA-TU (Maana yake ukiwa hapa wewe una mea-tu hakuna kunyauka). Maafisa wengi wakiisikia huwa hawaitaki lakini wakishafika huwa hawataki tena kuhama/kuondoka.
Aende Lindi, pamoja na hayo naomba kuuliza inakuaje mtu mmoja anachanguliwa nafasi moja sehemu tofauti? au ataweza kwenda sehemu zote mbili?