Msaada: Mchepuo wa CBG Advance utasoma masomo mangapi jumla?

Msaada: Mchepuo wa CBG Advance utasoma masomo mangapi jumla?

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
372
Reaction score
300
Habari!! Naomba kujua katika mchepuo wa CBG huko advance utatakiwa kusoma masomo mangapi pamoja na combination yako?
 
Basi Applied Mathematics and General Studies
 
Biology....chemistry.... Geography.... Basic applied mathematics(Bam)....General study (GS)....mitihani yako ya mwisho utafanya kumi biology 1,2,3...chemistry 1,2,3....Geography 1,2....GS 1 na Bam 1
 
Masomo matano.
Chemistry,Biology,Geography,General Studies and Basic Applied Mathematics
 
Ukisoma hiyo utajilimit sana kozi cha chuo hasa za afya

Komaa na PCB
 
Pharmacy... Dr of medicine, Vetenary medicine, dentel, etc usahau kusoma. Labda nursing au environmental science, education, courses za SUA zpo nyng
 
Pharmacy... Dr of medicine, Vetenary medicine, dentel, etc usahau kusoma. Labda nursing au environmental science, education, courses za SUA zpo nyng
Hahahaha mkuu kweli wewe ni jasho la kuku, halipati hata shida kutiririka, safi sanaaa nimependa sana comment yako mkuu
 
Habari!! Naomba kujua katika mchepuo wa CBG huko advance utatakiwa kusoma masomo mangapi pamoja na combination yako?
Dogo kama una nguvu kasome pcb usije maliza form6 ukaanza mlaumu ndalichako hataki msome MD au pharmacy...
 
Pharmacy... Dr of medicine, Vetenary medicine, dentel, etc usahau kusoma. Labda nursing au environmental science, education, courses za SUA zpo nyng
hivi nursing kwa cbg wanakubali au nilisoma muongozo vibaya??
 
Back
Top Bottom