fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 219
- 92
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana ila natamani kuwa na nyumba yenye nafasiDuh! Ulikuwa unajenga kanisa kiongozi?
Hawa wandugu hawana huruma hata kidogo niwafujaji sijapata onaHuyu aliyejenga boma wameshindwa kukufanyia calculation?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana ila natamani kuwa na nyumba yenye nafasi
Sjakuelewa suali lko ila ni tofali za kuchoma imejengewa na udongo sio cementHii nyumba ni ya udongo?
Asante umeniongezea uthubutuMkuu maisha ni Nyumba sina cha kushauri hongera umeweza kwako ni kwako tu, huwezi skia leta bill ya maji wala umeme, ni wewe tu
Watu wenye maswali ya kijinga huna haja ya kuwajibu muulize yeye yake hipo wapi?Sjakuelewa suali lko ila ni tofali za kuchoma imejengewa na udongo sio cement
Kam ni nyumba ya tofali za kuchoma basi paua kama wanavyopaua huko vijinin usije jaribu kupaua ukaweka mzigo mkubwa juu utaangusha nyumbaSjakuelewa suali lko ila ni tofali za kuchoma imejengewa na udongo sio cement
Hizo Ramani Za Kununua Postal DarDuh! Ulikuwa unajenga kanisa kiongozi?
Unamaanisha kuezeka kwa kurefusha paa. Hata huku kwetu wanafanya hivyo na zinakubali tu tofali hizi za kuchoma ni imara kweli na kujengea tope au cement sio ttzo nymba nyingi ukija huku ukikuta zimesha kamilika huwezi amini kama ilianzia hivyo ok. Ila mimi upauwaji wakurefusha sana paa sivutiwi nao nataka kuwa na paa lakawaida tuKam ni nyumba ya tofali za kuchoma basi paua kama wanavyopaua huko vijinin usije jaribu kupaua ukaweka mzigo mkubwa juu utaangusha nyumba
Ahaa aiseeh nakushukuru sana sana comment yako imenipa mwanga kwa kweli Asante. Nilikuwa sijui idadi ya bando ya bati nita fatuta izo za rangi na nimesha ona uzi zakutosha zikizungumzia ubora wa bati kulingana na viwanda husikamimi sio fundi haya ni makadirio ya uzoefu
kenchi hapo ni 100-120
bati bando 2 (futi 10 moja na futi 8 moja) zinaweza sizitoshe ukaongeza bati (kama utatumia bati nyeupe)
kama watumia za rangi hapo bi bando 3
bati zinatofautina kwenye wingi hizi nyeupe zinakuwa 24 (futi 8) 20(futi 10)
kwa bati za rangi zinakuwa 16 kwa bando moja
Sio kwamba nasema sio imara mie mwenyewe Nina mpango wa kujrnga nyumba nzuri ya tofali za kuchoma. .Unamaanisha kuezeka kwa kurefusha paa. Hata huku kwetu wanafanya hivyo na zinakubali tu tofali hizi za kuchoma ni imara kweli na kujengea tope au cement sio ttzo nymba nyingi ukija huku ukikuta zimesha kamilika huwezi amini kama ilianzia hivyo ok. Ila mimi upauwaji wakurefusha sana paa sivutiwi nao nataka kuwa na paa lakawaida tu
Kama kiwanja cha mpira[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana ila natamani kuwa na nyumba yenye nafasi
Mkuu hizo tofali ni imara sana, na ukisema ujengee smenti utapata hasara,Sio kwamba nasema sio imara mie mwenyewe Nina mpango wa kujrnga nyumba nzuri ya tofali za kuchoma. .
Nyumba yangu nilisimamishapaa kubwa Mita nane. Limekula bati na mbao balaa. Mwisho wa siku unaiwekea nyumba uzito mkubwa. .
Siku yakipita yake magari ya kushindilia Barabara nyumba inapasuka. .