Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Mkuu unaanza kunifungua akili sasaHizo ni dalili za food poisoning, au wameumwa na nyoka. Kama ni sumu labda kuna mtu amewarushia nyama yenye sumu, hivyo imarisha ulinzi, hujui ana lengo gani.
Na kama sumu imeingia mwilini ni ngumu sana kumtibu kwa alipofikia,
Minyoo wangekuwa wanakonda. Hiyo sio minyoo kabisa, ni kitu walichokula au walichoumwa nachoMkuu unaanza kunifungua akili sasa
Kama ndio ingekuwa minyoo wasingekufa kwa pamoja
Kwahiyo dalili hizo ni walipewa sumu au nyoka, maana sidhani kama minyoo inafanya mbwa atoe mapovu
Nimegundua kweli ilikuwa sumu Wale wawili nimekuta wamekauka asubuhiChakula huenda kilikua na sumu.
Obviously wamelishwa sumu mkuu.Kaa tafakari sana chukua hatua nzuri pia usisahau kumtanguliza MOLA.Nimegundua kweli ilikuwa sumu Wale wawili nimekuta wamekauka asubuhi
Sasa sijui nani kawapa sumu maana hawa majirani zangu wananichukia sana toka zamani
Nashukuru sana mkuu nimejifunza kituMinyoo wangekuwa wanakonda. Hiyo sio minyoo kabisa, ni kitu walichokula au walichoumwa nacho
Nashukuru sana kwa kunipa warningObviously wamelishwa sumu mkuu.Kaa tafakari sana chukua hatua nzuri pia usisahau kumtanguliza MOLA.
Watawaua tena kakaR.I.P mbwa..
Fuga wengine bro..
Kama unachukiwa na majirani hiyo ni hatari. Wanaweza kukuua hata wewe. Sababu ni nini mpaka ukawa vibaya nao?Nimegundua kweli ilikuwa sumu Wale wawili nimekuta wamekauka asubuhi
Sasa sijui nani kawapa sumu maana hawa majirani zangu wananichukia sana toka zamani
Hii nayo inaweza kuwa kweliUenda nyoka alivamia banda
Dah mzee baba umesema kweli inabidi niwe makiniSumu hiyo. Leo imarisha ulinzi, aliyewalisha sumu anaweza kukutembelea usiku