Kulipa mpaka utumiwe control number na pale ilipofika huwez kuendelea hadi ulipe. ukilipa utakua na ushahidi hata ikizingua unawapigia simu. Nakushauri uwe na uhakika kama dirisha la maombi limefunguliwa. Pia tumia browser hiz mozilla fire fox au Google chrome .operamin hua inasumbua sana kufanyia application.