Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani washaanza kuruhusu maombi?Inagoma hapo katika kuchagua kadaView attachment 1099455
Mkuu nahisi mpaka ulipe kwanzaInagoma hapo katika kuchagua kadaView attachment 1099455
OkNimesikia hivyo
Kulipa mpaka utumiwe control number na pale ilipofika huwez kuendelea hadi ulipe. ukilipa utakua na ushahidi hata ikizingua unawapigia simu. Nakushauri uwe na uhakika kama dirisha la maombi limefunguliwa. Pia tumia browser hiz mozilla fire fox au Google chrome .operamin hua inasumbua sana kufanyia application.Nahofia vipi kama nitalipia alafu mambo hayaendi si ndo nitakuwa nimepoteza kabisa
Unatumiwa kwa njia ipiKulipa mpaka utumiwe control number na pale ilipofika huwez kuendelea hadi ulipe. ukilipa utakua na ushahidi hata ikizingua unawapigia simu. Nakushauri uwe na uhakika kama dirisha la maombi limefunguliwa. Pia tumia browser hiz mozilla fire fox au Google chrome .operamin hua inasumbua sana kufanyia application.
Kwa sms ,email au wengine unaikuta hapohapoUnatumiwa kwa njia ipi