Msaada: Mbinu za kupata kazi

Msaada: Mbinu za kupata kazi

Tobido

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
331
Reaction score
76
Dah! Wadau game tyt mno hizo kazi za kwenye matangazo nimeapply kibao ila naona kimya tu. Wadau wenye uzoefu naomba mnisaidie mbinu za kupata kazi naona sasa hadi nakaribia kuwa chizi kwa ujobless.

Thanks in advance.
 
Dah! Wadau game tyt mno hizo kazi za kwenye matangazo nimeapply kibao ila naona kimya tu. Wadau wenye uzoefu naomba mnisaidie mbinu za kupata kazi naona sasa hadi nakaribia kuwa chizi kwa ujobless.

Thanks in advance.

tatizo liko kwenye kujenga hoja, mimi huwa hata nikijaribu tu nakua shortlisted tena kwenye competitive jobs, hapa one week before nili-beep kazi fulani nimetaarifiwa kuwa niko shortlisted, na ukiangalia sina tertially education laskini kikubwa ni kumtanguliza BWANA wa majeshi, kazi zitakufuata pia jaribu kuuliza instinct zako, mimi huwa kazi ambayo ntaitwa mara nyingi unakuta nimeshai-predict na inakuwa hivyo
 
Dah! Wadau game tyt mno hizo kazi za kwenye matangazo nimeapply kibao ila naona kimya tu. Wadau wenye uzoefu naomba mnisaidie mbinu za kupata kazi naona sasa hadi nakaribia kuwa chizi kwa ujobless.

Thanks in advance.

Tafuta wa kukushika mkono
 
Cheki na hiii site pia: ajirakwanza.blogspot.com

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa kazi unayoomba hakikisha una kigezo "unique" yaani cha tofauti, kwa mfano unapoomba kazi ya u secretary kwenye mashirika ya kigeni ujue hata lugha nyingine ya kigeni, au unapoomba kazi ya uhasibu ujue zile programme za kihasibu za computer au uwe na leseni ya kuendeshea gari yani lengo kuu hapa nikuwa tu na sifa ya utofauti kwani waajiri wengi wanapenda mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi tofauti tofauti ili kupunguza gharama. Pili hakikisha cv, barua na viambatanishi vinamuonekano wa kushawishi kuanzia personal details, education back ground hapa kwenye education inabidi uandikie ulichilisoma kwa mfano ulisoma udereva utaandika award: certificate of driving, pia utaandika lesson covered: defensive driving, highwaycode, basic mechanic...sehemu ya work experience utaandika sehemu zote ulizowahi kufanya kazi kwa mtiririko wa kuanzia muajiri wa mwisho hadi wa mwanzo ni muhimu pia ukaandika job descriptions za kila mwajiri hapa unakuwa na nafasi nzuri ya kuitwa kwenye usaili kama job description za sehemu ulizowahi kufanyia kazi zinafanana na zile zilizoorodheshwa kwenye kazi unayoomba ....sehemu ya mwisho ni ya ma referee pia ni vyema ukawa una jua programu ya microsoft ili uweze kuchapa ( type) na kuambatanisha (kuattach) na kutuma maombi yako kwa njia ya mtandao "online" kwani waajiri wengi wa sasa wanapendekeza hivyo kwa msaada zaidi nicheki
 
Mungu akifungua mlango wa kupata ajira hakuna anaeweza kuzuia kitu cha msingi ni kutembea katika njia zake, Sio unamwomba Mungu huku unamsaliti Mungu.
 
Back
Top Bottom