BongoTechno
Member
- Jan 22, 2017
- 27
- 13
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naomba kujua upi ni mbadala mzuri wa Google Adsense kwa site zetu za kiswahili.
Nilikuwa naomba kujua upi ni mbadala mzuri wa Google Adsense kwa site zetu za kiswahili.
Kwa impression ya 40,000 kwa siku ambapo 90% ni kutoka bongo unaweza pata USD ngapi kwa cku?revenuehit ila sheria ni zile zile kama za GOOGLE ADS
Ngoja niicheki hiirevenuehit ila sheria ni zile zile kama za GOOGLE ADS