Msaada: Maumivu ya tezi na kiuno


MPEPE

MPEPE

Member
Joined
Oct 20, 2012
Messages
99
Points
95
MPEPE

MPEPE

Member
Joined Oct 20, 2012
99 95
Naomba msaada wa tiba na kinga juu ya tatizo hili,huwa tezi zinaniuma na kiuno maeneo ya nyuma na karibu na tezi. Umri wangu ni miaka 24, jinsia ni ME...huwa si'sex mara kwa mara lakini nipo active.nimeongeza hayo maelezo kama bank yatakapohitajika.MSAADA WATALAAMU
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,448
Points
2,000
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,448 2,000
pole watakuja wataalamu wetu hapa.
 
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
3,772
Points
1,225
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
3,772 1,225
Tezi gani au zipi?
 
G

Godwin Mneng'ene

Verified Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
216
Points
0
G

Godwin Mneng'ene

Verified Member
Joined Sep 20, 2010
216 0
nenda hospitali we dogo utapata msaada mzuri kwenye suala hilo
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,838
Points
1,225
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,838 1,225
Sijawahi kusikia matezi ya kiume
 

Forum statistics

Threads 1,295,171
Members 498,180
Posts 31,202,230
Top