msaada: Maumivu nyuma ya goti

msaada: Maumivu nyuma ya goti

robbinhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
541
Reaction score
1,539
Samahani sana ndugu zangu wana Jf,

Leo ni siku ya 3 naskia maumivu nyuma ya goti hasa wakati wa kuukunja na kuunyoosha mguu

Hivo naomba msaada wenu juu ya hili tatizo ndugu zangu[emoji120]

Jinsia: me
Umri: 24
Uzito: Kg 65
 
Jinsia?
Umri?
Uzito?
Kazi yako?
Una dawa zozote unazotumia?
Aina ya maumivu....

Hizi ni taarifa zilipaswa kuambatana na maelezo yako hapo juu...[emoji854][emoji854][emoji854]
 
Jinsia?
Umri?
Uzito?....

Hizi ni taarifa zilipaswa kuambatana na maelezo yako hapo juu...[emoji854][emoji854][emoji854]
Mkuu nina umri wa miaka 24.

uzito ni kilogram 65.

ninatumia dawa ya kuchua tu imeandikwa DICLOPAR activa, hii nimeanza kutumia leo
 
Mkuu nina umri wa miaka 24
uzito ni kilogram 65


ninatumia dawa ya kuchua tu imeandikwa DICLOPAR activa, hii nimeanza kutumia leo
Endelea na hiyo dawa....kwa sasa...kuna uwezekano umeshtua , baada ya kazi nzito au mazoezi.
 
Naomba nami nikuulize, napata maumivu makali katika kidole gumba cha mguu wa kulia sijapata ajali yoyote ila nikikunja hakiumi ila nikitembea ndio kinauma sana, naomba ushauri kama yawezekana.
 
Back
Top Bottom