janjab
Senior Member
- May 28, 2015
- 172
- 56
Wakubwa habari,
Nimekuwa nikisumbuliwa na kaumivu chini ya kitovu upande wa kushoto na korodani ya kushoto kwa takribani miez 3 toka mwezi 10 mwaka jana.
Nilienda hospitali nikaambiwa mkojo mchafu@UTI nimetumia doz kibao pamoja na kuchoma pawe safe lakin bado hali ni tete .
Msaada kwa wale wenye ufahamu na hili tatizo.