Nashukuru sana mkuu kwa muda wako nimepata pakubwa pa ufahamu kuhusu mbegu hizi maana ASA wenyewe pakti lao lipolipo tu halina maelekezo basi ni tafarani ubarikiwe sana.Upandaje ni sm 75 mpaka 90 mstari hadi mstari na sm 30 mche hadi mche lakini pia shimo kuanzia sm 2.5 mpaka 5sm
Inakomaa kwa miezi 4 na inavuilia ukame
Mavuno inategemeana na ubora wa ardhi yako
Unaweza pata gunia 7 nakuendelea au pungufu kama ardhi yako ni mbovu
Ni open pollinated seed yaani sio chotara inafanana na mbegu mama,yaani iliyotumika kutengenezea na unaweza kuirudia kwa msimu mwingine kwa maana ukajiwekea mbegu kutoka katika mavuno yako tofauti na ile ambayo ni hybrird.
Inaitwa standard seed imezalshwa na ASA (wakala wa mbegu za kilimo)
Mkuu nimejaribu kukujibu,wabobezi waje kuomgezea nyama
Gunia7kwenye nini mkuu?Upandaje ni sm 75 mpaka 90 mstari hadi mstari na sm 30 mche hadi mche lakini pia shimo kuanzia sm 2.5 mpaka 5sm
Inakomaa kwa miezi 4 na inavuilia ukame
Mavuno inategemeana na ubora wa ardhi yako
Unaweza pata gunia 7 nakuendelea au pungufu kama ardhi yako ni mbovu
Ni open pollinated seed yaani sio chotara inafanana na mbegu mama,yaani iliyotumika kutengenezea na unaweza kuirudia kwa msimu mwingine kwa maana ukajiwekea mbegu kutoka katika mavuno yako tofauti na ile ambayo ni hybrird.
Inaitwa standard seed imezalshwa na ASA nni(wakala wa mbegu za kilimo)
Mkuu nimejaribu kukujibu,wabobezi waje kuomgezea nyama
Tunaomgea hesabu kwa eka mojaGunia7kwenye nini mkuu?
DahUnsaga pamoja na vitunguu swaum unatengeneza juice yenye nguvu kuliko vumbi.
Hayo ndiyo matumizi sahihi
Nawe ni mkemia?Unsaga pamoja na vitunguu swaum unatengeneza juice yenye nguvu kuliko vumbi.
Hayo ndiyo matumizi sahihi
naomba kujua msimu w kuanza kulima alizet kwa dodomamaduka ya pembejeo mkuu ila kama upo kanda ya kati nenda ofisi za watendaji inapatikana kwa 3500 kwa kg 1 wametoa ruzuku kwa kanda hiyo.