Msaada: Matumizi sahihi ya mbegu ya Alizeti

relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,180
4,734
Habari!

Wakuu naomba elimu kwa ufupi kujua hii mbegu ya alizeti anayogaiwa na serikali huko kwenye maduka ya pembejeo inauzwa kiasi gani kwa ujazo wa kilo mbili na je ni aina gani ya mbegu na Tija yake ipije kwa gunia moja la debe saba linatoa mafuta kiasi gani.
 
Upandaje ni sm 75 mpaka 90 mstari hadi mstari na sm 30 mche hadi mche lakini pia shimo kuanzia sm 2.5 mpaka 5sm
Inakomaa kwa miezi 4 na inavuilia ukame
Mavuno inategemeana na ubora wa ardhi yako
Unaweza pata gunia 7 nakuendelea au pungufu kama ardhi yako ni mbovu
Ni open pollinated seed yaani sio chotara inafanana na mbegu mama,yaani iliyotumika kutengenezea na unaweza kuirudia kwa msimu mwingine kwa maana ukajiwekea mbegu kutoka katika mavuno yako tofauti na ile ambayo ni hybrird.
Inaitwa standard seed imezalshwa na ASA (wakala wa mbegu za kilimo)
Mkuu nimejaribu kukujibu,wabobezi waje kuomgezea nyama
 
Nashukuru sana mkuu kwa muda wako nimepata pakubwa pa ufahamu kuhusu mbegu hizi maana ASA wenyewe pakti lao lipolipo tu halina maelekezo basi ni tafarani ubarikiwe sana.
 
Upandaje ni sm 75 mpaka 90 mstari hadi mstari na sm 30 mche hadi mche lakini pia shimo kuanzia sm 2.5 mpaka 5sm
Inakomaa kwa miezi 4 na inavuilia ukame
Mavuno inategemeana na ubora wa ardhi yako
Unaweza pata gunia 7 nakuendelea au pungufu kama ardhi yako ni mbovu
Ni open pollinated seed yaani sio chotara inafanana na mbegu mama,yaani iliyotumika kutengenezea na unaweza kuirudia kwa msimu mwingine kwa maana ukajiwekea mbegu kutoka katika mavuno yako tofauti na ile ambayo ni hybrird.
Inaitwa standard seed imezalshwa na ASA nni(wakala wa mbegu za kilimo)
Mkuu nimejaribu kukujibu,wabobezi waje kuomgezea nyama
Gunia7kwenye nini mkuu?
 
Unsaga pamoja na vitunguu swaum unatengeneza juice yenye nguvu kuliko vumbi.

Hayo ndiyo matumizi sahihi
 
Angalia
IMG-20211208-WA0000.jpg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom