Msaada; matiti kwa mwanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; matiti kwa mwanaume

Discussion in 'JF Doctor' started by The Tan-talizer, Aug 14, 2012.

 1. The Tan-talizer

  The Tan-talizer Senior Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa kawaida wanaume wengi katika kipindi cha balehe katika chuchu zao kwa ndani huota vimatiti vyenye kama viringi au ugumu flani!! Sasa ugumu ule unapodumu muda mrefu husababisha mwanaume kuwa kama anamatiti...!! Kwa msaada wa wote anayejua naomba asaidie ni njia gani mtu anaweza fanya vitu hivyo viondoke maana kuna mtu wangu wa karibu vinamkosesha raha kwa kweli!! Nawasilisha wanajamii
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mwambie awe anayakamua kila wakati mpaka yataondoka inshallah.@The Tan-talizer
   
 3. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Ndivyo inavyotakiwa kufanya.
   
Loading...