Mightyarmy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2023
- 312
- 455
Umenunua sh ngapi maana bei ya S23 mpya ni ya ghali. Hiyo bei uliyonunulia inaweza pia kuonyesha ni copy au origin.
Hiyo simu huenda ilitumika ikawekwa ganda jipya, jaribu kuweka data/photo recovery iskani uone kama itavumbua vitu ndani ya hiyo simu.Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.
Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.
Shida inazonipa ni hizi.
1. Unaweza fungua program kama whatsup halafu inaifunga ( close) bila taarifa wala maelezo.
2. Ukitaka kuview attachement yoyote inakuambia huwezi kuview au huna memory ya kutosha wakati nimetumia 47Gb kati ya 512 zilizopo.
3. Ukitaka kudownload kitu say tik tok inakuambia memory imejaa hivyo nunua cloud memory
4. Ukitaka kutuma attachment inakataa kuatach kwa maelezo hiyo attachment haipo kwenye simu wakati naiona.
5. Ukitaka kutuma sms zinafail wakati nina sms bundle na data bundle la kutosha nk
Mwenye kujua jinsi ya kuondoka na hii kadhia tafadhali share maana naamini ni aoftware issue
Haya yote unayafanya ukiwa hapo hapo dukani kabla hujanunua.Kweli sasa hivi simu nyingi ambazo ni refurbrished zimechakachuliwa Memory, siku ya Storage Gb 64 na Ram Gb 2 inawekewa File la Gb 128. Kimbembe kipo ukiweka vitu vikifikia zile Gb 64 simu inakwambia imejaa ili hali wewe bado unaona simu ina free space kibao, solution ni ukiwa unanunua hizi simu ikague kwanza halafu download application ya CPU Z kwenye hiyo simu, hiyo itakuonyesha hali halisi ya hiyo simu kuanzia Model, storage na details kama resolution.
3.4mUmenunua sh ngapi maana bei ya S23 mpya ni ya ghali. Hiyo bei uliyonunulia inaweza pia kuonyesha ni copy au origin.
WARUDISHIEDukani kwa samsung hapo mlimani city mall?
Yes ni rahisi kuconnect wifi nakudownload Apk ya cpu Z… kama ni kanjanjaa watakukatalia mapema tu na wewe utakua umeokoa hasara.Haya yote unayafanya ukiwa hapo hapo dukani kabla hujanunua.
Sichangamshi genge. Ni kweli na sasa nawaza hatua za kufuata wanipe simu nyingine...Hii isijekuwa chai, mleta mada kaamua kuchangamsha genge tu hapa. Mlimani city mall huwezi kuta copy au simu mbovu S23 ultra na hapo hapo eti uuziwe kwa 3.4m