Msaada: Matatizo ya macho na miwani ya kusomea

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Wadau nilienda Hydary plaza kupima macho,nikapewa miwani ya kusomea, Baada ya wiki miwani ilianguka na kioo

kikachomoka....nikaja kugundua kumbe ni plastic wameweka na sio kioo???

Hivi miwani ya kusomea wanaweka plastic na sio kioo???? Na kwa nini isiwe kioo??

Na kwa hapa Dar wapi ni Best kwa kupima macho???
 
Hiyo ni miwani ya kichina; wamachinga wanaiuza shs 3000 hadi 5000/= na Life span yake haizidi mwezi mmoja. Miwani mizuri ya kusomea inaanzia tshs 50,000/=.
 
Hiyo ni miwani ya kichina; wamachinga wanaiuza shs 3000 hadi 5000/= na Life span yake haizidi mwezi mmoja. Miwani mizuri ya kusomea inaanzia tshs 50,000/=.

mkuu point yangu ni btwn glass and plastic......

Na wapi best place in dar pa kupima macho
 
Back
Top Bottom