Msaada: Maswali yanayoulizwa katika usahili JKT

bishororo

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
254
356
Husika na kichwa cha habari,

Ningependa kujua ni maswali gani mara nyingi huulizwa.
 
unataka matango pori

ngoja waje wakupe hints,ila usitegemee sana kama utaulizwa maswali sometime mnaweza mkapelekwa uwanjani mpige round 10
 
Back
Top Bottom