Msaada: Maswali ya Interview, nafasi ya Afisa Biashara

Tzabway

JF-Expert Member
May 12, 2016
261
166
Habari ya mchana wanajamvi.

Kwa wale ambao wameshawahi kufanya usaili wa nafasi ya AFISA BIASHARA, naomba kujua ni aina gani ya maswali ambayo huwa yanatoka kwenye usaili wa mchujo.

Pia hata kama hujawahi kufanya usaili, lakini una uelewa wa kile kinachoulizwa basi sio mbaya ukatia mchango wako.

Natanguliza shukrani.
 
Jitahidini kuyajua mambo yote yanayohusiana na biashara. Interview zenu huwa ni nyepesi sana.....ni hayo tu!!
 
Habari ya mchana wanajamvi.

Kwa wale ambao wameshawahi kufanya usaili wa nafasi ya AFISA BIASHARA, naomba kujua ni aina gani ya maswali ambayo huwa yanatoka kwenye usaili wa mchujo.

Pia hata kama hujawahi kufanya usaili, lakini una uelewa wa kile kinachoulizwa basi sio mbaya ukatia mchango wako.

Natanguliza shukrani.

Kama Utumishi hawa watu wanabase class na knowledge ya vitu vinavyohusiana na hiyo kada katika Jamhuri hii,ila base kwenye core subject la hiyo kada mfano watu wa uhasibu huwa wanacheza na somo la account,mwisho lolote linaweza tokea kila la kheri.
 
Asante sana ndugu
 
Back
Top Bottom