Msaada maswali kwenye interview

Amedeus Somi

Member
Aug 27, 2016
65
22
Hellow wadau,

Nimeapply kazi ya data entry na soon tu nitaitwa interview, naombeni mnitonye kidogo inform of question asking from this issues please.

Thanks
 
kwanini viongozi wa Tanganyika hawafuati KATIBA katika utawala wao?je unaamini kuwa kuwa kuna nchi inaitwa TANZANIA? kama ipo ni ipi?

samahani mkuu,ngoja tuwasubiri wataalamu wa haya mambo waje!
 
Itategemeana na interview yenyewe, unaweza kujiandaa kwa ajili ya oral ukakutana na practical ... unapewa kazi ya kufanya kwa muda maalum - hakuna longolongo hapo
 
kwanini viongozi wa Tanganyika hawafuati KATIBA katika utawala wao?je unaamini kuwa kuwa kuna nchi inaitwa TANZANIA? kama ipo ni ipi?

samahani mkuu,ngoja tuwasubiri wataalamu wa haya mambo waje!
Angalia mada mkuu acha kukurupuka
 
Data entry huwa inaangalia sana practical Uwe unajua vizuri typing kwa speed, maana kuwa data entry speed inahusika 100%
Best of luck!
 
Back
Top Bottom